#Goldenpresenter

335 posts

Muda ndo huu tuanze pamoja na tumalize pamoja mpka 8 mchana tunae @sopranomusiq @nuru_spicy @kisamaki_tz . . #goldenpresenter
#VIDEO . . MEDA anasema alishindwa kukutana na diamond katika show ya diamond forever kitu ambacho kilimfanya skate tamaa arudi iringa nakupata idea ya kuandika wimbo BARUA KWA DIAMOND . . LINK KWENYE BIO UKAMSIKILIZE KWA UREFU ZAIDI. . #goldenpresenter
Hii movie itakuwa hatar sana kwa kipande hiki kifupi basi tunaingoja kwa YouTube @elizabethmichaelofficial na bora iwe hivi uingize pesa kupitia YouTube This is very Big . . #goldenpresenter
Kipaji Hiki kimepotea muda sasa hatujakisikia kwenye Muziki almost miaka 3 na huu ndo wimbo wake wa mwisho kutoka na kwenye YouTube una views takriban million 1 . . Sasa kwa mujibu wa comment ya @petitman_wakuache kwenye post ya @mirror26 basi Siku si nyingi kichwa hiki kinarejea kwenye bongo fleva . . #goldenpresenter
Tupate picha kidogo alafu #nakujuza info zitafata badae . . #goldenpresenter
😁😁😁😁 kondoo wengine bhana madish yashayumba muda tu 😀😀😀 . #goldenpresenter
Haya ndo majibu ya @peterpsquare alivyoulizwa kuhusu kauli ya Diamond Platnumz ya yeye kudate na zari . . #goldenpresenter
#VIDEO . . Ukitaja mahusiano ya kimapenzi ya mastaa kutoka bongoflevani basi huwezi acha kutaja mahusiano ya Ruby Na Kusah Waja wanasema Kusah Analelewa Na Ruby haya maneno yanaukweli ndani yake ? . . #Pressplay msikilize Kusah akifunguka . . #goldenpresenter
Et tuzungumze muziki Arudi kwenye muziki au aendelee kufanya filamu. #goldenpresenter
#VIDEO . . Burnaboy anatarajia kudropisha album yake ya African Giant na alifanya listening party los Angels Marekani . Burna Boy huuu ndo msimu wake bhana ni moja kati ya wasanii wanaofanya poa sana kwa hivi sasa Afrika . . #goldenpresenter
#VIDEO . . @meda_tz_ hapa anafunguka wasanii ambao kipaji chake na sehemu aliopo kwenye tasnia ya muziki ni vitu tofauti amemtaja Hamisa ,baba Diamond na Lynn . . #goldenpresenter
@mr_photogenic1tz @officialbenson1 @y_rapper @meebrownofficial @smainatz tunao Leo kwenye Exclusive interview ,dondosha comment yako hapa . . #goldenpresenter
Tupo na @amini_tz kwenye #kissmostwanted ya @kissfmtanzania Fanya kama una tune in kibabe zaidi twende mpaka saa nane mchana . . #goldenpresenter
#VIDEO . . Soulja Boy yeye anahitaji Million 23 tu aingize verse kwenye wimbo wako ,lakini kwa ambaye anahitaji kutumia beat zake basi aandae Million 5 na laki 7 . . Hapa nadhani tumeelewana 😀 . Andika comment yako apa tuzungumze Muziki . . #goldenpresenter
#VIDEO . . Chidi Benz hapa anazungumzia ishu ya wadada kuvaa nguo za utupu na kupost katika mitandao . . Pressplay umsikilize Chuma . #newschemba #goldenpresenter
load more posts