#Nikkimbishi

670 posts

"...Humble haimaanishi kufollow watu instagram...!" #Nyashinski πŸšΆπŸšΆπŸ˜‚. . Moja ya vitu wenzetu #Kenya wamefanikiwa ni wasanii wao wengi wana #Character .Na kwasabab hii wana mastaa wengi wenye vitu vingi. . Mfano wasanii wenye #attitude ni wengi kama wa kwanza kabisa #Octopizzo then #PapaJones khalighraph,na huyu Shinski pia.Wote wana attitude ila Ukiwaangalia Nyimbo zao,interview zao,showbiz(yaani story zinazowahusu) HAZIFANANI. . Angalia hata Comedians wao.Ni wengi kuliko wetu ila hawafanani character hata mmoja.Kama ilivyo mbele.Ila hapa kwetu Chalii ya r,sasa hivi wapo 100,wanaoigiza sauti ya MAGUFULI wanaongezeka kila siku.n.k . Bongo tuna mfumo wa '#TREND ' ambao unasababisha wasanii wengi kukosa CHARACTER au kufanana karibia wote.Kuna wasanii ukiwaangalia wanachovaa,Wanachoongea kwenye interviews,aina ya KIKI zao,Wanachopost Insta na kwingine..Wengi wanafanana. . So bongo tunaongozwa na TREND karibu kwenye kila kitu.Ikianza Trend ya kupiga PHOTOSHOOT kwenye matairi yaliyopakwa rangi,basi woooote tunahamia kwenye matairi. πŸ˜‚Na wapiga picha ni walewale . Ikiwa trend ya kuvaa nguo mpya.insta kutachafuka Wooote wanavaa Gucci.utasema tumezaliwa na mama mmoja!!Let say ni UMOJA na UJAMAA wetu kama watanzania..Hashtag #TUNAPENDANA na #TUNAFANANA .lol . . Mfano,#NIKKIMBISHI ana misimamo yake ambayo kimsingi ni #Attitude binafsi kabisa ambayo anaishi nayo kwenye sanaa.Ila wadogo zake wote wanaomtazama kama rolemodel,wakiibuka wanafanana naye hadi tabia.unajiuliza How is this possible?Umetokea Njombe,unafananaje na mtu wa DAR,ARUSHA n.k? . Ukifatilia wasanii wengi waliotoka baada ya 2010(baada ya kuibuka Diamond).Wanafanana personality na D hadi mapozi ya video zao.Sasa hivi hadi Lyrics ukiacha mbali mavazi. . Kwahiyo tuna wasanii Wengi,comedians wengi ila unahitaji kusikiliza 3 tu na utakuwa sawa na aliyewasikikiza wote.tofauti na Kenya. . Ndio maana ukienda RED CARPET zetu utaona mastaa wengi,ila Character/Artpersonalities utaziona chache sana.Sijui kama ni nzuri au mbaya..Pengine ndo utofauti wetu na wengine. . #Wetalkmusic #WetalkEntertainment
Rapper #Nikkimbishi ameandika ivo kupitia ukurasa wake wa intagram. #NewsUnlock @younglunya πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Where My Crown At? - @nikkimbishi πŸ’₯ Heshima sana #nikkimbishi #tamadunimuzik #seanprice #duckdown #hiphop #game #undergroundhiphop #boombap #bongohiphop #rap #africa #america #bloocklyn #lindi #tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ…Ώ! Forever πŸ’•
Nimwendo wangum nyeuc #God_music #ongezathamani πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯✌✌#nikkimbishi
#nikkimbishi unajua bro
Japo tupo kwenye mfungo let's do this A boy from southern zone #castleliteunlocks #wakazi #nikkimbishi #pmawenge
Mtangazaji mkubwa kutoka @cloudsfmtz kipindi cha #XXL @bdozen , Amezungumzia alichosema #NikkiMbishi kuhusu baadhi ya wasanii kuja kwenye kipindi chake nakuanza kulia lia.... Full interview Bonyeza link kwenye Bio yangu itakupeleka moja kwa mojaπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #umbea #udakutz_ #azamkurus2019 #azamsports2 #wcb #wcbwasafi #kingsmusicrecords #kingsmusic #kingkiba_for_life πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ #kingkiba #kingkibamasslowevents #wcbwasafi #wcb_for_life πŸ‘ˆπŸ‘ˆπŸ”« #mwanafa #mwananchiupdates #millardayosports #wasichana #malikiawanguvu #tetema #mwanzacity #kainama #kondeboy πŸŒπŸ¦… .
#Nikkimbishi ft #wakazimusic @Priceless deπŸ”₯πŸ”₯song kwa hi style hip_hop never die
"Every Saturday RAp attack Mr magic Marley marl" Lyrics from biggie smalls "JUICY " #Nikkimbishi #kaymapacha #dottowamaujanja #onetheincredible #ibra_the_incredible_26
Karibu mwezi mwema,mwezi adhwimu, M/mungu atufikishe sote katika mwezi mtukufu wa Ramadhani insha allah. #rajai6 #darassacmg255 #harmonize_tz #juma_jux #officialy_nasty #official_anko #quran_swahili #official_shetta #sisithetrio #nikkimbishi #
πŸ‘Ÿ priceless Dr. Unju __#nikkimbishi
load more posts