#kissmostwanted

139 posts

Tupo na @amini_tz kwenye #kissmostwanted ya @kissfmtanzania Fanya kama una tune in kibabe zaidi twende mpaka saa nane mchana . . #goldenpresenter
S/outs kwa @bannymusic @taika_official Leo tulipiga nao story nyingi kwenye #KissMostWanted . . Cc . @officialstellahj @yusuphdebrave @dj_jclever . . #kissmostwantedtz
Kwenye show kuanzia saa 5-8 mchana #kissmostwanted ya kissfm TUNAKICHAFUAA..... #goldenpresenter
Yooh Kuanzia saa 5-8 mchana kupitia spika za Kissfm On air #kissmostwanted maninja make sure una tune in . DSM 98.9,,Mwanza 88.7 Mbeya 88.3 ,Arusha& Kilimanjaro 90.2 .....
#NAKUJUZA Mpenzi wa Snura @minu_calypto ni muandishi mzuri wa nyimbo ameahusika kuziandika nyimbo nyingi ikiwemo Christian Bella Niende wapi akiwa na johmakini lakini Verse ya Christian Bella na Malaika Music Band Wimbo unaitwa Rudi . #goldenpresenter Live #kissmostwanted
Twende sawa ryt now ndani ya #kissmostwanted ya @kissfmtanzania Nambie unaisikiliza toka pande zipi .. #goldenpresenter
Hongera kwa mwaka mpya mzee baba Amunike Senso Seba mshamba wa Pilau. #kissmostwanted @bplus_benayzo @kissfmtz
#kissmostwanted Happy Birthday @bplus_benayzo , hongera kwa kuongeza mwaka mwingine na mwenyezimungu akujalie afya njema. @kissfmtanzania
Leo Ni Mfano Wa Siku Ya Kuzaliwa Ya My Brother @bplus_benayzo From Kiss Fm #kissmostwanted . Happy birthday Bro Mungu Akupe Maisha Marefu Yenye Baraka Na Mafanikio Bro . . #washikamic #mshikamic #kajamaasimpo
#HustlerOnPoint "Kila Siku ya Jmos na Jpili ..Kuanzia Saa 11am - 14pm Huwa Ratiba Inakamilika Hapa..Chimbo linafahamika Kama #KISSMOSTWANTED Maskani Inaitwa #KISSFM " Skia Mwanangu Sio Lazima Ila Ukipata Muda Nipe Sikio Nikunong'oneze Kitu..Pia Respect Back Kwa Wanangu @officialstellahj @yusuphdebrave @dj_jclever @noe_thefuture @kissmostwantedtanzania @kissfmtz #TodayzBestMusic #Tunakichafuaaaaa #MjiniSioKwetu 📷na Mwanangu Sana @brako_bway
@kingsmusicrecords leo watakua live ndani ya kiss Fm 98.9 #KISSMOSTWANTED stay tuned kuanzia 11:00 mpaka 14:00
@officialcheed - @kingsmusicrecords Leo Tupo Live @kissfmtz 98.9 Kwenye Kipindi Cha #Kissmostwanted Kuanzia Saa 11: 00 Kamili Mpaka Saa :14:00 Kamili - Posted by @mica_singoshine
@kingsmusicrecords Leo Tupo Live @kissfmtz 98.9 Kwenye Kipindi Cha #Kissmostwanted Kuanzia Saa 11: 00 Kamili Mpaka Saa :14:00 Kamili
@kingsmusicrecords Leo Tupo Live @kissfmtz 98.9 Kwenye Kipindi Cha #Kissmostwanted Kuanzia Saa 11: 00 Kamili Mpaka Saa :14:00 Kamili
@kingsmusicrecords leo tutakua live ndani ya kiss Fm 98.9 #KISSMOSTWANTED stay tuned kuanzia 11:00 mpaka 14:00
MNIZOEE2 maana uzuri hakuna na wala sihitaji kua mzuri ASANTE @officialkissfmtz #kissmostwanted kwa bonge la ENTERVIEW @bplus_benayzo @dj_jclever salute BONGELADEMU link kwa bio #kwatastyle 🙋
load more posts