wakazimusic

Wakazi The Bilingual BEAST

Recording Artist | Visionary | Actor | Philanthropist| WORKETHIC | Kora Nominee #BestHipHop | 1/4th SSK | wakaziwavina@gmail.com | NewSingle #NIMEZAMA

RULES OF ENGAGEMENT: Part One Tunajaribu kuwa professional kadri siku zinakwenda. Muziki umekuwa Kazi na pia Biashara, hivyo ni muhimu kuuchukulia serious kama unataka kuufanya katika level za juu kabisa na hatimae zikakuletea mafanikio. Dear upcoming artist, usijitilishe huruma na kulia "naomba msaada" kwa Msanii Mkubwa au Mdau uliem-approach kwa matumaini ya kukupa Msaada. JIAMINI, onyesha THAMANI YAKO, fuata MAELEKEZO utakayopewa. Muziki ni BIASHARA na KAZI. Hatutaki Ombaomba, bali tunataka Kipaji, Uchapakazi, na Nidhamu. Pia ni muhimu sana kujua unataka nini kwanza kwenye Sanaa/Muziki; yaani your goals & objectives, alafu pia uwe na picha kamili ya unataka nini kwa Mdau uliyem-approach, sio unamwambia mtu nisaidie kaka/dada au nishike mkono... hiyo sio sawa, na haitoshi. Pia fanya research yako vizuri ili uwe na uhakika kama Mdau uliyemfata ni sahihi kwa matakwa (needs) yako as an artist, with respect to the type of artist and future you wish to become and achieve respectively. Mfano unamfata Wakazi unaomba akusaidie, wakati wakati yeye hakusaidiwa na mtu, na hapo alipofika ni jitihada zake binafsi. Sidhani kama ni Mtu sahihi kumwambia "nisaidie" maana yeye kwenye vocabulary yake hilo neno halipo. Maybe the best thing kwa Wakazi ni wewe kujifunza kwa kuangalia matendo na mwenendo wake, na ujifunze kwa namna hiyo maybe utakuwa the new & better Wakazi. Kama unataka Interview, mfate presenter au producer wa Kipindi husika. Kama unataka muziki kuwa kwenye rotation, ifate music department ya media husika. Kama unataka Muziki wako kuchezwa, wafate na DJ Pia Kumbuka mafanikio hayaji kwa Siku moja. PUNGUZENI HARAKA YA KUTAKA KUTOKA!! Jipange, ili ukija kutoka basi utoke kweli na pia udumu kwa muda mrefu. Kuna Watu wanastress ya kuwa ngoma zao hazipigwi, na hawajatoka kimuziki. Ngoja nikusanue... HAKUNA STRESS MBAYA ZAIDI YA ILE AMBAYO NGOMA INAPIGWA NA UMEKUWA MAARUFU ILA BADO MFUKONI HUNA KITU. Unaweza tamani kujificha kwenye mfuko wa suruali yako mwenyewe uliyoivaa. "Subira huvuta kheri" so dear artist, be patient, keep working & keep praying. #DarasaHuru #ElimuBilaAda #WordToBikiraWaKisukuma #TakeItOrLeaveIt #Workethic #WakaziWisdom
Happy Birthday to the Goddess Of Rap @rosa_ree !! Stay blessed.... 🙌🏾
Jumapili hii ya Pasaka nitakuwa na washkaji zangu @temidayo_gm & @rahuum_cookies kwenye #SundayXtraa ya @timesfmtz Mada yetu kuu ikiwi "ili kijana ufanikiwe kiuchumi kwenye nyanja yoyote ile, unahitaji elimu ya darasani au ya mtaa? Usikose kuanzia saa 12 jioni (6pm), this Easter Sunday!! #workethic
About Last night in Kigamboni... was dope reconnecting & linking up with fans & friends. Thank you all HAPPY EASTER !! #workethic
Tukutane baadae in Kigamboni... @jembe1_night_club #workethic
New joint from my homegirl @fridaamaniofficial "PULL UP" (Link on her Bio) this right here 🔥🔥🔥🔥 #SupportYourOwn I see you Fifi, going for the crown 🙌🏾
@gnakowarawara ameamua kufanya kwa uwezo wake kumsaidia mtoto wa kike kwenda shule nawewe njoo tarehe 20/4/2019 pale AICC Ukumbi wa Lake Nyasa hall umuunge mkono kufanikisha lengo hili. Pata ticket yako ya #GnakoForTheGirlChild @the_donsgroup na tukutane tarehe 20/04/2019 pale Ukumbi wa @aicc_jnicc kwanzia saa moja usiku #TuanzieNyumbani #GnakoForTheGirlChild #ArushaYetu #Weka #Cybernet #TBL @dse_tz @jerrymuro1980 @piilimited @gnakowarawara @the_donsgroup @aicc_jnicc @pointzoneresort @radio5tz @Ribs_Arusha @monica_flavour_thedons @digitaldynamicstz @club_d_arusha @fany_zanzibar @lemutuz_superbrand @missmandoza @kamandamzeemkavu @billnass @billsepewisee @vanessamdee @juma_jux @iambenpol @rosa_ree @mwasitij @anania_junior
The dopest video to drop lately... @frankiemaston ft @yeyo_tmc "Mi na Wewe" (Link On his Bio) 🔥🔥🔥 #SupportYourOwn @temayaination #TYN
New from @clint.tz "Kidogo" (Link on his Bio) 🔥🔥🔥 Another from @temayaination own !! #SupportYourOwn #TYN #TemaYai
My young blood @yeyo_tmc just dropped this new video !! Sponsored by BetPawa ... Yeyo was among the top 100 empawa artistes. He is from, and is representing #Tanzania 🇹🇿 #TemaYaiNation #TYN #Two5Fly @empawaafrica (Link On His Bio) #SupportYourOwn
Don't miss out tomorrow @jembe1_night_club I will be there!! #workethic Unakosaje ?! #HappyEaster
Nacho kiona kwenye kioo... #workethic
load more posts